Katika Kristo, Mimi ni nuru ing'aayo ulimwenguni.
Soma juu yake! - Mathayo 5:14 "Ninyi ni nuru ya ulimwengu, kama mji juu ya mlima ambao hauwezi kusitirika."
Kusikia na Kufuata - Muulize Mungu jinsi unavyoweza kuangaza Nuru ya Yesu ndani yako leo.
Omba 3 – Ombea kwa dakika 3 watu 3 ambao hawamfuati Yesu.