Katika Kristo, nimekubalika kabisa, mtoto mpendwa wa Mungu.
Soma juu yake! - Waefeso 1:6 "Basi twamsifu Mungu kwa neema tukufu aliyomimina juu yetu sisi tulio wa Mwana wa pendo lake."
Kusikia na Kufuata - Mwombe Mungu akusaidie kuelewa kuwa umekubaliwa naye kikamilifu na ni mtoto wake mpendwa na ushiriki ujuzi huu wa kukubalika kwake na mtu leo.
Omba 3 – Ombea kwa dakika 3 watu 3 ambao hawamfuati Yesu.